The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 24 › Matthew 24:43

Matthew 24:43

Lakini fahamuni jambo hili: Kama mwenye nyumba angejua ni wakati gani wa usiku ambao mwizi atakuja, angekesha na hangekubali nyumba yake kuvunjwa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But know this, that if the goodman of the house had known in what watch the thief would come, he would have watched, and would not have suffered his house to be broken up.

In Context

42“Basi kesheni, kwa sababu hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu.

44Kwa hiyo ninyi pia hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia. 1 Mfano Wa Mtumishi Mwaminifu (Luka 12:41-48)

Read all of Matthew 24

Cross References

Exodus 22:2“Kama mwizi akishikwa anavunja nyumba akapigwa hata akafa, aliyemuua hana hatia ya kumwaga damu;

Proverbs 7:19Mume wangu hayupo nyumbani; 2 amekwenda safari ya mbali. 1

Matthew 24:44Kwa hiyo ninyi pia hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia. 1 Mfano Wa Mtumishi Mwaminifu (Luka 12:41-48)

1 Thessalonians 5:2kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajapo usiku.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 24:43

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 24:42Matthew 24Matthew 24:44 →