Matthew 24:44
Kwa hiyo ninyi pia hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia. 1 Mfano Wa Mtumishi Mwaminifu (Luka 12:41-48)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore be ye also ready: for in such an hour as ye think not the Son of man cometh.
In Context
Cross References
Matthew 24:27Kwa maana kama vile umeme utokeavyo mashariki na kuonekana hata magharibi, ndivyo itakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
Matthew 25:10“Nao walipokuwa wakienda kununua mafuta, bwana arusi akafika. Wale wanawali waliokuwa tayari wakaingia ndani pamoja naye kwenye karamu ya arusi na mlango ukafungwa.
Luke 12:40Ninyi nanyi hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia.” 1 Mtumishi Mwaminifu Na Yule Asiye Mwaminifu (Mathayo 24:45-51)
James 5:9Ndugu zangu, msinungʼunikiane msije mkahukumiwa. Hakimu amesimama mlangoni!