Matthew 24:49
kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And shall begin to smite his fellowservants, and to eat and drink with the drunken;
In Context
48Lakini kama huyo mtumishi ni mwovu, naye akasema moyoni mwake, ‘Bwana wangu atakawia muda mrefu,’
50Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua.
Cross References
1 Samuel 2:29Kwa nini unadharau dhabihu zangu na sadaka zile nilizoziamuru kwa ajili ya makao yangu? Kwa nini unawaheshimu wanao kuliko mimi kwa kujinenepesha wenyewe kwa kula sehemu zilizo bora za kila sadaka zinazotolewa na watu wangu wa Israeli?’
Isaiah 66:5Sikieni neno la Bwana, 2 ninyi mtetemekao kwa neno lake: 1 “Ndugu zenu wanaowachukia ninyi 2 na kuwatenga ninyi kwa sababu ya Jina langu, wamesema, 1 ‘ Bwana na atukuzwe, 2 ili tupate kuona furaha yenu!’ 2 Hata sasa wataaibika. 1
Micah 3:5Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kuhusu manabii wanaowapotosha watu wangu, 2 mtu akiwalisha, 2 wanatangaza ‘amani’; 1 kama hakufanya hivyo, 2 wanaandaa kupigana vita dhidi yake. 1
Romans 16:18Kwa maana watu kama hao hawamtumikii Bwana Kristo, bali wanatumikia tamaa zao wenyewe. Kwa kutumia maneno laini na ya kubembeleza, hupotosha mioyo ya watu wajinga.
Philippians 3:19Mwisho wa watu hao ni maangamizi, Mungu wao ni tumbo, na utukufu wao ni aibu, na mawazo yao yamo katika mambo ya dunia.
1 Peter 5:3Msijifanye mabwana juu ya wale walio chini ya uangalizi wenu, bali kuweni vielelezo kwa hilo kundi.