Matthew 25:12
“Lakini yeye bwana arusi akawajibu, ‘Amin, amin nawaambia, siwajui ninyi!’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But he answered and said, Verily I say unto you, I know you not.
In Context
11“Baadaye wale wanawali wengine nao wakaja, wakaita, ‘Bwana! Bwana! Tufungulie mlango!’
Cross References
Psalms 5:5Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako, 2 unawachukia wote watendao mabaya. 1
Luke 13:26“Ndipo mtamjibu, ‘Tulikula na kunywa pamoja nawe, tena ulifundisha katika mitaa yetu.’
John 10:27Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata,
Galatians 4:9Lakini sasa kwa kuwa mmemjua Mungu, au zaidi mmejulikana na Mungu, inakuwaje mnarejea tena katika zile kanuni za kwanza zenye udhaifu na upungufu? Mnataka ziwafanye tena watumwa?