Matthew 25:29
Kwa maana kila mtu aliye na kitu atapewa zaidi, naye atakuwa navyo tele. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyangʼanywa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28“ ‘Basi mnyangʼanyeni hiyo talanta, mkampe yule mwenye talanta kumi.
Cross References
Hosea 2:9“Kwa hiyo nitachukua nafaka yangu wakati itakapokomaa 2 na divai yangu mpya wakati itakapokuwa tayari. 1 Nitamnyangʼanya sufu yangu na kitani yangu 2 iliyokusudiwa kufunika uchi wake. 1
Matthew 21:41Wakamjibu, “Kwa huzuni kuu atawaangamiza kabisa hao wadhalimu na kulipangisha shamba lake la mizabibu kwa wakulima wengine ambao watampatia fungu lake la matunda wakati wa mavuno.”
Luke 8:18Kwa hiyo, kuweni waangalifu mnavyosikia. Kwa maana yeyote aliye na kitu atapewa zaidi. Lakini yule asiye na kitu, hata kile anachodhani anacho atanyangʼanywa.” 1 Mama Yake Yesu Na Ndugu Zake (Mathayo 12:46-50; Marko 3:31-35)
Luke 12:19Nami nitaiambia nafsi yangu, “Nafsi, unavyo vitu vingi vizuri ulivyojiwekea akiba kwa miaka mingi. Pumzika; kula, unywe, ufurahi.” ’
Luke 16:9Nawaambia, tumieni mali ya kidunia kujipatia marafiki, ili itakapokwisha, mkaribishwe katika makao ya milele.
Luke 19:25“Wakamwambia, ‘Bwana, mbona; tayari anayo mafungu kumi!’