Matthew 25:7
“Ndipo wale wanawali wote wakaamka na kuzitengeneza taa zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then all those virgins arose, and trimmed their lamps.
In Context
6“Usiku wa manane pakawa na kelele: ‘Tazameni, huyu hapa bwana arusi! Tokeni nje mkamlaki!’
8Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara, ‘Tupatieni mafuta yenu kidogo; taa zetu zinazimika.’
Cross References
Luke 12:35“Kuweni tayari mkiwa mmevikwa kwa ajili ya huduma na taa zenu zikiwa zinawaka,
Revelation 2:4“Lakini nina neno dhidi yako: Umeuacha upendo wako wa kwanza.
Revelation 3:19“Wale niwapendao, ninawakemea na kuwaadibisha. Hivyo uwe na bidii ukatubu.