The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 26 › Mathayo 26:32

Mathayo 26:32

Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But after I am risen again, I will go before you into Galilee.

In Context

31Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu, ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: 1 “ ‘Nitampiga mchungaji, 2 nao kondoo wa hilo kundi watatawanyika.’

33Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.”

Read all of Mathayo 26

Cross References

Matthew 20:19na kumtia mikononi mwa watu wa Mataifa ili wamdhihaki na kumpiga mijeledi na kumsulubisha msalabani. Naye atafufuliwa siku ya tatu!” 1 Ombi La Mama Yake Yakobo Na Yohana (Marko 10:35-45)

Matthew 28:6Hayupo hapa, kwa kuwa amefufuka, kama vile alivyosema. Njooni mpatazame mahali alipokuwa amelazwa.

Matthew 28:16Basi wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda hadi Galilaya kwenye ule mlima ambao Yesu alikuwa amewaagiza.

Mark 14:28Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.”

Luke 18:33Naye siku ya tatu atafufuka.”

1 Corinthians 15:6Baadaye akawatokea wale ndugu waumini zaidi ya 500 kwa pamoja, ambao wengi wao bado wako hai, ingawa wengine wamelala.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 26:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 26:31Mathayo 26Mathayo 26:33 →