Mark 14:28
Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But after that I am risen, I will go before you into Galilee.
In Context
29Petro akasema, “Hata kama wengine wote watakuacha, mimi sitakuacha.”
Cross References
Matthew 26:32Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.”
Matthew 28:10Ndipo Yesu akawaambia, “Msiogope. Nendeni mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, ndiko watakakoniona.” 1 Taarifa Ya Walinzi
Mark 16:7Lakini nendeni mkawaambie wanafunzi wake pamoja na Petro, kwamba, ‘Anawatangulia kwenda Galilaya. Huko ndiko mtamwona, kama alivyowaambia.’ ”
1 Corinthians 15:4ya kuwa alizikwa na alifufuliwa siku ya tatu, kama yasemavyo Maandiko,