Mathayo 26:68
na kusema, “Tutabirie, wewe Kristo! Ni nani aliyekupiga?” 1 Petro Amkana Bwana Yesu (Marko 14:66-72; Luka 22:56-62; Yohana 18:15-18, 25-27)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Saying, Prophesy unto us, thou Christ, Who is he that smote thee?
In Context
67Kisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi
Cross References
Judges 16:25Mioyo yao ilipokuwa imefurahishwa wakasema, “Mleteni Samsoni aje acheze ili tufurahi.” Basi wakamleta Samsoni kutoka mle gerezani naye akacheza mbele yao. Wakamweka kati ya nguzo mbili.
Matthew 27:39Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao
Mark 15:18Wakaanza kumsalimu kwa dhihaka, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!”
John 19:2Askari wakasokota taji ya miiba, wakamvika Yesu kichwani. Wakamvalisha joho la zambarau.
1 Peter 2:4Mnapokuja kwake, yeye aliye Jiwe lililo hai, lililokataliwa na wanadamu bali kwa Mungu ni teule na la thamani kwake,