Mathayo 27:30
Wakamtemea mate, wakachukua ile fimbo wakampiga kichwani tena na tena.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they spit upon him, and took the reed, and smote him on the head.
In Context
Cross References
Job 30:8Wao ni watoto wa wapumbavu wenye asili ya ubaya, 2 waliofukuzwa watoke katika nchi. 1
Isaiah 50:6Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao, 2 mashavu yangu wale wangʼoao ndevu zangu; 1 sikuuficha uso wangu kutokana na fedheha 2 na kutemewa mate. 1
Isaiah 53:3Alidharauliwa na kukataliwa na wanadamu, 2 mtu wa huzuni nyingi, ajuaye mateso. 1 Kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, 2 alidharauliwa, wala hatukumhesabu kuwa kitu. 1
Micah 5:1Panga majeshi yako, ee mji wa majeshi, 2 kwa kuwa kuzingirwa kumepangwa dhidi yetu. 1 Watampiga mtawala wa Israeli 2 shavuni kwa fimbo. 1
Mark 15:19Wakampiga kwa fimbo ya mwanzi tena na tena kichwani na kumtemea mate. Wakapiga magoti mbele yake, wakamsujudia kwa kumdhihaki.