Matthew 28:7
Kisha nendeni upesi mkawaambie wanafunzi wake kwamba, ‘Amefufuka kutoka kwa wafu, naye awatangulia kwenda Galilaya. Huko ndiko mtamwona. Sasa nimekwisha kuwaambia.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Hayupo hapa, kwa kuwa amefufuka, kama vile alivyosema. Njooni mpatazame mahali alipokuwa amelazwa.
Cross References
Isaiah 44:8Msitetemeke, msiogope. 2 Je, sikutangaza hili, na kutoa unabii tangu zamani? 1 Ninyi ni mashahidi wangu. 2 Je, yuko Mungu zaidi yangu mimi? 1 Hasha, hakuna Mwamba mwingine; 2 mimi simjui mwingine.” 1
Matthew 24:25Angalieni, nimekwisha kuwaambia mapema.
Matthew 28:10Ndipo Yesu akawaambia, “Msiogope. Nendeni mkawaambie ndugu zangu waende Galilaya, ndiko watakakoniona.” 1 Taarifa Ya Walinzi
Mark 14:28Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.”
Mark 16:10Maria akaenda, naye akawaambia wale waliokuwa wamefuatana na Yesu, waliokuwa wanaomboleza na kulia.
Luke 24:9Waliporudi kutoka huko kaburini, wakawaeleza wale wanafunzi kumi na mmoja pamoja na wengine wote mambo haya yote.