Matthew 7:24
“Kwa hiyo kila mtu ayasikiaye haya maneno yangu na kuyatenda, ni kama mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 28:28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, 2 ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, 2 nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”
Psalms 119:99Nina akili zaidi kuliko walimu wangu wote, 2 kwa kuwa ninatafakari juu ya sheria zako. 1
Proverbs 10:8Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo, 2 lakini mpumbavu apayukaye huangamia. 1
Matthew 5:3“Heri walio maskini wa roho, 2 maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. 1
Matthew 6:14Kwa kuwa kama mkiwasamehe watu wengine wanapowakosea, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi pia.
Matthew 7:7“Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango.