The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 9 › Matthew 9:25

Matthew 9:25

Lakini watu walipokwisha kutolewa nje, akaingia mle ndani na kumshika yule binti mkono, naye akaamka.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But when the people were put forth, he went in, and took her by the hand, and the maid arose.

In Context

24akawaambia, “Ondokeni! Kwa maana binti huyu hakufa, bali amelala.” Wakamcheka kwa dhihaka.

26Habari hizi zikaenea katika maeneo yale yote. 1 Yesu Awaponya Vipofu

Read all of Matthew 9

Cross References

2 Kings 4:32Elisha alipofika kwenye ile nyumba, mtoto alikuwa amelala juu ya kitanda chake angali amekufa.

Mark 5:41Akamshika mtoto mkono, akamwambia, “Talitha koum!” + 5:41 Talitha koum ni lugha ya Kiaramu. (maana yake ni, “Msichana, nakuambia: amka!”)

Mark 9:27Lakini Yesu akamshika mkono, akamwinua, naye akasimama.

Acts 9:40Petro akawatoa wote nje ya kile chumba, kisha akapiga magoti akaomba, akaugeukia ule mwili akasema, “Tabitha, inuka.” Akafumbua macho yake na alipomwona Petro, akaketi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 9:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 9:24Matthew 9Matthew 9:26 →