Mark 9:27
Lakini Yesu akamshika mkono, akamwinua, naye akasimama.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But Jesus took him by the hand, and lifted him up; and he arose.
In Context
Cross References
Isaiah 41:13Kwa maana Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 nikushikaye mkono wako wa kuume 1 na kukuambia, Usiwe na hofu, 2 nitakusaidia. 1
Mark 1:41Yesu, akiwa amejawa na huruma, akanyoosha mkono wake akamgusa, akamwambia, “Nataka. Takasika!”
Mark 8:23Yesu akamshika mkono huyo kipofu akampeleka nje ya kijiji. Baada ya kuyatemea mate macho ya yule kipofu na kumwekea mikono, Yesu akamuuliza, “Unaona chochote?”
Acts 9:41Petro akamshika mkono akamwinua, ndipo akawaita wale watakatifu na wajane akamkabidhi kwao akiwa hai.