The Bible Software
bible.softwareMicahMicah 2 › Micah 2:12

Micah 2:12

“Hakika nitawakusanya ninyi nyote, ee Yakobo, 2 Hakika nitawaleta pamoja mabaki ya Israeli. 1 Nitawaleta pamoja kama kondoo ndani ya zizi, 2 kama kundi kwenye malisho yake, 2 mahali hapa patakuwa na msongamano wa watu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will surely assemble, O Jacob, all of thee; I will surely gather the remnant of Israel; I will put them together as the sheep of Bozrah, as the flock in the midst of their fold: they shall make great noise by reason of the multitude of men.

In Context

11Ikiwa mwongo na mdanganyifu atakuja na kusema, 2 ‘Nitawatabiria divai na pombe kwa wingi,’ 1 angekuwa ndiye nabii 2 anayekubalika na watu hawa! 1 Ahadi Ya Ukombozi 1

13Yeye afunguaye njia atawatangulia; 2 watapita kwenye lango na kutoka nje. 1 Mfalme wao atawatangulia, 2 Bwana atakuwa kiongozi.”

Read all of Micah 2

Cross References

Genesis 36:33Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 1

Isaiah 11:11Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi, + 11:11 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. 1

Isaiah 34:6Upanga wa Bwana umeoga katika damu, 2 umefunikwa na mafuta ya nyama: 1 damu ya kondoo na mbuzi, 2 mafuta kutoka figo za kondoo dume. 1 Kwa maana Bwana ana dhabihu huko Bosra, 2 na machinjo makuu huko Edomu. 1

Jeremiah 23:3“Mimi mwenyewe nitayakusanya mabaki ya kundi langu kutoka nchi zote ambazo nimewafukuzia, nami nitawarudisha katika malisho yao, mahali ambapo watazaa na kuongezeka idadi yao.

Ezekiel 34:11“ ‘Kwa kuwa hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi mwenyewe nitawaulizia kondoo wangu na kuwatafuta.

Ezekiel 34:22nitaliokoa kundi langu na hawatatekwa nyara tena. Nitahukumu kati ya kondoo na kondoo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Micah 2:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Micah 2:11Micah 2Micah 2:13 →