Isaiah 34:6
Upanga wa Bwana umeoga katika damu, 2 umefunikwa na mafuta ya nyama: 1 damu ya kondoo na mbuzi, 2 mafuta kutoka figo za kondoo dume. 1 Kwa maana Bwana ana dhabihu huko Bosra, 2 na machinjo makuu huko Edomu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Chronicles 1:44Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 2
Isaiah 34:5Upanga wangu umekunywa na kushiba huko mbinguni, 2 tazama, unashuka katika hukumu juu ya Edomu, 1 wale watu ambao nimeshawahukumu, 2 kuwaangamiza kabisa. 1
Isaiah 63:3“Nimekanyaga shinikizo la zabibu peke yangu; 2 kutoka mataifa hakuna mtu aliyekuwa pamoja nami. 1 Nimewaponda kwa miguu katika hasira yangu 2 na kuwakanyaga chini katika ghadhabu yangu; 1 damu yao ilitia matone kwenye mavazi yangu, 2 na kutia madoa nguo zangu zote. 1
Jeremiah 49:13Ninaapa kwa nafsi yangu,” asema Bwana, “kwamba Bosra utakuwa magofu na kitu cha kutisha, cha aibu na cha kulaania; miji yake yote itakuwa magofu milele.” 1
Jeremiah 51:40“Nitawateremsha kama wana-kondoo waendao machinjoni, 2 kama kondoo dume na mbuzi. 1
Ezekiel 21:10umenolewa kwa ajili ya mauaji, 2 umesuguliwa ili ungʼae 2 kama umeme wa radi! “ ‘Je, tuifurahie fimbo ya utawala ya mwanangu Yuda? Upanga unaidharau kila fimbo ya namna hiyo. 1