The Bible Software
bible.software › Mika › Mika 2 › Mika 2:8

Mika 2:8

Siku hizi watu wangu wameinuka 2 kama adui. 1 Unawavua joho la kitajiri wale wanaopita 2 pasipo kujali, 2 kama watu warudio kutoka vitani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Even of late my people is risen up as an enemy: ye pull off the robe with the garment from them that pass by securely as men averse from war.

In Context

7Je, ingesemwa, ee nyumba ya Yakobo: 2 “Je, Roho wa Bwana amekasirika? 2 Je, yeye hufanya vitu kama hivyo?” 1 “Je, maneno yangu hayamfanyii mema 2 yeye ambaye njia zake ni nyofu? 1

9Unawahamisha wanawake wa watu wangu 2 kutoka kwenye nyumba zao za kupendeza. 1 Unaondoa baraka yangu 2 kwa watoto wao milele. 1

Read all of Mika 2

Cross References

2 Chronicles 28:5Kwa hiyo Bwana Mungu wake akamtia mikononi mwa mfalme wa Aramu. Waaramu wakamshinda, wakachukua watu wake wengi mateka na kuwaleta mpaka Dameski. Tena alitiwa mikononi mwa mfalme wa Israeli, ambaye aliwaua watu wake wengi.

Psalms 120:6Nimeishi muda mrefu mno 2 miongoni mwa wale wanaochukia amani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mika 2:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mika 2:7Mika 2Mika 2:9 →