The Bible Software
bible.softwareMicahMicah 2 › Micah 2:7

Micah 2:7

Je, ingesemwa, ee nyumba ya Yakobo: 2 “Je, Roho wa Bwana amekasirika? 2 Je, yeye hufanya vitu kama hivyo?” 1 “Je, maneno yangu hayamfanyii mema 2 yeye ambaye njia zake ni nyofu? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

O thou that art named the house of Jacob, is the spirit of the LORD straitened? are these his doings? do not my words do good to him that walketh uprightly?

In Context

6Manabii wao husema, “Usitabiri. 2 Usitabiri kuhusu vitu hivi; 2 aibu haitatupata.” 1

8Siku hizi watu wangu wameinuka 2 kama adui. 1 Unawavua joho la kitajiri wale wanaopita 2 pasipo kujali, 2 kama watu warudio kutoka vitani. 1

Read all of Micah 2

Cross References

Psalms 15:2Ni yule aendaye pasipo mawaa, 2 atendaye yaliyo haki, 1 asemaye kweli toka moyoni mwake, 2

Psalms 19:7Sheria ya Bwana ni kamilifu, 2 ikihuisha nafsi. 1 Shuhuda za Bwana ni za kuaminika, 2 zikimpa mjinga hekima. 1

Psalms 119:65Mtendee wema mtumishi wako 2 Ee Bwana, sawasawa na neno lako. 1

Psalms 119:92Kama nisingefurahia sheria yako, 2 ningeangamia katika taabu zangu. 1

Proverbs 2:7Anahifadhi ushindi kwa ajili ya mwadilifu, 2 yeye ni ngao kwa wale wasio na lawama, 1

Proverbs 10:29Njia ya Bwana ni kimbilio kwa wenye haki, 2 lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Micah 2:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Micah 2:6Micah 2Micah 2:8 →