Micah 2:9
Unawahamisha wanawake wa watu wangu 2 kutoka kwenye nyumba zao za kupendeza. 1 Unaondoa baraka yangu 2 kwa watoto wao milele. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 26:19Sasa mfalme bwana wangu na asikilize maneno ya mtumishi wake. Kama Bwana amekuchochea dhidi yangu, basi yeye na aipokee sadaka yangu. Lakini hata hivyo, kama ni wanadamu waliofanya hivyo, walaaniwe mbele za Bwana! Wao sasa wamenifukuza kutoka sehemu yangu katika urithi wa Bwana wangu wakisema, ‘Nenda ukatumikie miungu mingine.’
Jeremiah 10:20Hema langu limeangamizwa; 2 kamba zake zote zimekatwa. 1 Wana wangu wametekwa na hawapo tena; 2 hakuna hata mmoja aliyebaki wa kusimamisha hema langu 2 wala wa kusimamisha kibanda changu. 1
Joel 3:6Mliwauza watu wa Yuda na Yerusalemu kwa Wayunani, ili kwamba mpate kuwapeleka mbali na nchi yao.
Habakkuk 2:14Kwa kuwa dunia itajazwa na maarifa ya utukufu wa Bwana, 2 kama maji yaifunikavyo bahari. 1
Matthew 23:13“Lakini ole wenu, walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Kwa maana mnawafungia watu milango ya Ufalme wa Mbinguni. Ninyi wenyewe hamuingii humo, nao wale wanaotaka kuingia mnawazuia. [
Luke 20:47Wao hula nyumba za wajane, na ili waonekane kuwa wema, wanasali sala ndefu. Watu kama hawa watapata hukumu iliyo kuu sana.”