Micah 3:1
Kisha nikasema, 1 “Sikilizeni enyi viongozi wa Yakobo, 2 enyi watawala wa nyumba ya Israeli. 1 Je, hampaswi kujua hukumu, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 1:13Chagueni baadhi ya watu wenye hekima, wenye ufahamu na wanaoheshimika kutoka kila kabila lenu, nami nitawaweka juu yenu.”
2 Chronicles 19:5Akawaweka waamuzi katika nchi, kwenye miji yote ya Yuda yenye maboma.
Psalms 14:4Je, watendao mabaya kamwe hawatajifunza: 2 wale ambao huwala watu wangu 1 kama watu walavyo mkate, 2 hao ambao hawamwiti Bwana? 1
Isaiah 1:10Sikieni neno la Bwana, 2 ninyi watawala wa Sodoma; 1 sikilizeni sheria ya Mungu wetu, 2 enyi watu wa Gomora! 1
Jeremiah 5:4Ndipo nikasema, “Hawa ni maskini tu; 2 wao ni wapumbavu, 1 kwa maana hawaijui njia ya Bwana, 2 sheria ya Mungu wao. 1
Jeremiah 13:15Sikieni na mzingatie, 2 msiwe na kiburi, 2 kwa kuwa Bwana amenena. 1