Micah 4:1
Katika siku za mwisho 1 mlima wa Hekalu la Bwana utaimarishwa 2 kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote; 1 utainuliwa juu ya vilima, 2 na watu wa mataifa watamiminika humo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 49:10Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1
Psalms 68:15Milima ya Bashani ni milima iliyotukuka, 2 milima ya Bashani ina vilele vilivyochongoka. 1
Psalms 72:7Katika siku zake wenye haki watastawi; 2 mafanikio yatakuwepo mpaka mwezi utakapokoma. 1
Psalms 86:9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya 2 yatakuja na kuabudu mbele zako; 2 wataliletea utukufu jina lako. 1
Isaiah 2:1Hili ndilo aliloliona Isaya mwana wa Amozi kuhusu Yuda na Yerusalemu:
Isaiah 11:9Hawatadhuru wala kuharibu 2 juu ya mlima wangu mtakatifu wote, 1 kwa kuwa dunia itajawa na kumjua Bwana 2 kama maji yajazavyo bahari.