The Bible Software
bible.softwareMikaMika 4 › Mika 4:10

Mika 4:10

Gaagaa kwa utungu, ee Binti Sayuni, 2 kama mwanamke mwenye utungu wa kuzaa, 1 kwa kuwa sasa ni lazima uuache mji 2 ukapige kambi uwanjani. 1 Utakwenda Babeli; 2 huko utaokolewa. 1 Huko Bwana atakukomboa 2 kutoka mikononi mwa adui zako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Be in pain, and labour to bring forth, O daughter of Zion, like a woman in travail: for now shalt thou go forth out of the city, and thou shalt dwell in the field, and thou shalt go even to Babylon; there shalt thou be delivered; there the LORD shall redeem thee from the hand of thine enemies.

In Context

9Kwa nini sasa unalia kwa nguvu: 2 kwani huna mfalme? 1 Je, mshauri wako amekufa, hata maumivu yakukamate 2 kama ya mwanamke 2 aliye na utungu wa kuzaa? 1

11Lakini sasa mataifa mengi 2 yamekusanyika dhidi yako. 1 Wanasema, “Mwache anajisiwe, 2 macho yetu na yatazame Sayuni kwa furaha!” 1

Read all of Mika 4

Cross References

2 Kings 20:18Nao baadhi ya wazao wako, nyama yako na damu yako mwenyewe watakaozaliwa kwako, watachukuliwa mbali, nao watakuwa matowashi katika jumba la mfalme wa Babeli.”

2 Chronicles 33:11Hivyo Bwana akaleta juu yao majemadari wa jeshi la mfalme wa Ashuru, ambao walimchukua Manase kwenda kifungoni, wakaweka ndoana katika pua yake, wakamfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli.

2 Chronicles 36:23“Hili ndilo asemalo Koreshi mfalme wa Uajemi: “ ‘ Bwana, Mungu wa mbinguni, amenipa falme zote duniani, na ameniagiza kumjengea Hekalu huko Yerusalemu katika Yuda. Yeyote wa watu wake miongoni mwenu, Mungu wake na awe pamoja naye, wacha huyo mtu na apande.’ ”

Psalms 106:10Aliwaokoa mikononi mwa adui; 2 kutoka mikononi mwa adui aliwakomboa. 1

Isaiah 45:13Mimi nitamwinua Koreshi katika haki yangu: 2 nitazinyoosha njia zake zote. 1 Yeye atajenga mji wangu upya, 2 na kuwaweka huru watu wangu walio uhamishoni, 1 lakini si kwa kulipiwa fedha wala kupewa zawadi, 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.”

Isaiah 52:9Pazeni sauti ya nyimbo za furaha pamoja, 2 enyi magofu ya Yerusalemu, 1 kwa maana Bwana amewafariji watu wake, 2 ameikomboa Yerusalemu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mika 4:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mika 4:9Mika 4Mika 4:11 →