Mika 4:11
Lakini sasa mataifa mengi 2 yamekusanyika dhidi yako. 1 Wanasema, “Mwache anajisiwe, 2 macho yetu na yatazame Sayuni kwa furaha!” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 5:25Kwa hiyo hasira ya Bwana inawaka dhidi ya watu wake, 2 mkono wake umeinuliwa na anawapiga. 1 Milima inatetemeka, 2 maiti ni kama takataka kwenye barabara. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1
Jeremiah 52:4Hivyo katika mwaka wa tisa wa utawala wa Sedekia, katika siku ya kumi ya mwezi wa kumi, Nebukadneza mfalme wa Babeli akiwa na jeshi lake lote alifanya vita dhidi ya Yerusalemu. Wakapiga kambi nje ya mji na kuuzunguka mji pande zote.
Lamentations 2:16Adui zako wote wanapanua 2 vinywa vyao dhidi yako, 1 wanadhihaki na kusaga meno yao 2 na kusema, “Tumemmeza. 1 Hii ndiyo siku tuliyoingojea, 2 tumeishi na kuiona.” 1
Joel 3:2nitayakusanya mataifa yote na kuyaleta 2 katika Bonde la Yehoshafati + 3:2 Yehoshafati maana yake Bwana huhukumu. 1 Hapo nitaingia kwenye hukumu dhidi yao 2 kuhusu urithi wangu, watu wangu Israeli, 1 kwa kuwa waliwatawanya watu wangu 2 miongoni mwa mataifa 2 na kuigawa nchi yangu. 1
Micah 7:10Kisha adui yangu ataliona 2 naye atafunikwa na aibu, 1 yule aliyeniambia, 2 “Yu wapi Bwana Mungu wako?” 1 Macho yangu yataona kuanguka kwake, 2 hata sasa atakanyagwa chini ya mguu 2 kama tope barabarani. 1