Isaiah 45:13
Mimi nitamwinua Koreshi katika haki yangu: 2 nitazinyoosha njia zake zote. 1 Yeye atajenga mji wangu upya, 2 na kuwaweka huru watu wangu walio uhamishoni, 1 lakini si kwa kulipiwa fedha wala kupewa zawadi, 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 36:23“Hili ndilo asemalo Koreshi mfalme wa Uajemi: “ ‘ Bwana, Mungu wa mbinguni, amenipa falme zote duniani, na ameniagiza kumjengea Hekalu huko Yerusalemu katika Yuda. Yeyote wa watu wake miongoni mwenu, Mungu wake na awe pamoja naye, wacha huyo mtu na apande.’ ”
Psalms 65:5Unatujibu kwa matendo ya kushangaza ya haki, 2 Ee Mungu Mwokozi wetu, 1 tumaini la miisho yote ya duniani 2 na la bahari zilizo mbali sana, 1
Isaiah 41:2“Ni nani aliyemchochea mmoja kutoka mashariki, 2 akimwita katika haki kwa utumishi wake? 1 Huyatia mataifa mikononi mwake, 2 na kuwatiisha wafalme mbele zake. 1 Huwafanya kuwa mavumbi kwa upanga wake, 2 huwafanya makapi yapeperushwayo na upepo kwa upinde wake. 1
Isaiah 42:6“Mimi, Bwana, nimekuita katika haki; 2 nitakushika mkono wako. 1 Nitakulinda na kukufanya 2 kuwa Agano kwa ajili ya watu 2 na nuru kwa Mataifa, 1
Isaiah 46:11Kutoka mashariki ninaita ndege awindaye; 2 kutoka nchi ya mbali, 2 mtu atakayetimiza kusudi langu. 1 Lile ambalo nimelisema, ndilo nitakalolitimiza; 2 lile nililolipanga, ndilo nitakalolitenda. 1
Isaiah 48:15Mimi, naam, Mimi, nimenena; 2 naam, nimemwita yeye. 1 Nitamleta, 2 naye atafanikiwa katika lile nililomtuma.