Micah 4:3
Atahukumu kati ya mataifa mengi, 2 na ataamua migogoro ya mataifa 2 yenye nguvu na yaliyo mbali. 1 Watafua panga zao ziwe majembe, 2 na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi. 1 Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine, 2 wala hawatajifunza vita tena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 2:5Kisha huwakemea katika hasira yake 2 na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema, 1
Psalms 46:10“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; 2 nitatukuzwa katikati ya mataifa, 2 nitatukuzwa katika dunia.” 1
Psalms 72:7Katika siku zake wenye haki watastawi; 2 mafanikio yatakuwepo mpaka mwezi utakapokoma. 1
Psalms 96:13itaimba mbele za Bwana kwa maana anakuja, 2 anakuja kuihukumu dunia. 1 Ataihukumu dunia kwa haki, 2 na mataifa katika kweli yake.
Psalms 110:1Bwana amwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 mpaka nitakapowafanya adui zako 2 kuwa mahali pa kuweka miguu yako.” 1
Isaiah 2:4Atahukumu kati ya mataifa 2 na ataamua migogoro ya mataifa mengi. 1 Watafua panga zao ziwe majembe, 2 na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi. 1 Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine, 2 wala hawatajifunza vita tena. 1