Zaburi 2:5
Kisha huwakemea katika hasira yake 2 na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then shall he speak unto them in his wrath, and vex them in his sore displeasure.
In Context
4Yeye atawalaye mbinguni hucheka, 2 Bwana huwadharau. 1
6“Nimemtawaza Mfalme wangu 2 juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.” 1 Ushindi Wa Mfalme 1
Cross References
Psalms 50:16Lakini kwake mtu mwovu, Mungu asema: 1 “Una haki gani kunena sheria zangu 2 au kuchukua agano langu midomoni mwako? 1
Psalms 109:20Haya na yawe malipo ya Bwana kwa washtaki wangu, 2 kwa wale wanaoninenea mabaya. 1
Isaiah 11:4bali kwa uadilifu atahukumu wahitaji, 2 kwa haki ataamua wanyenyekevu wa dunia. 1 Ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake, 2 kwa pumzi ya midomo yake atawaua waovu. 1
Isaiah 66:6Sikieni hizo ghasia kutoka mjini, 2 sikieni hizo kelele kutoka hekaluni! 1 Ni sauti ya Bwana ikiwalipa adui zake 2 yote wanayostahili. 1
Matthew 22:7Yule mfalme akakasirika sana, akapeleka jeshi lake likawaangamiza wale wauaji na kuuteketeza mji wao kwa moto.
Luke 19:27Lakini wale adui zangu ambao hawakutaka mimi niwe mfalme juu yao. Waleteni hapa mkawaue mbele yangu.’ ” 1 Yesu Aingia Yerusalemu Kwa Ushindi (Mathayo 21:1-11; Marko 11:1-11; Yohana 12:12-19)