Micah 5:3
Kwa hiyo Israeli utaachwa mpaka wakati 2 mwanamke aliye na utungu atakapozaa 1 na ndugu zake wengine warudi 2 kujiunga na Waisraeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 30:7Msiwe kama baba zenu na ndugu zenu, ambao hawakuwa waaminifu kwa Bwana, Mungu wa baba zao, hivyo akawafanya kitu cha kushangaza kama mnavyoona.
Isaiah 10:20Katika siku ile, mabaki ya Israeli, 2 walionusurika wa nyumba ya Yakobo, 1 hawatamtegemea tena yeye aliyewapiga, 2 lakini watamtegemea kwa kweli 2 Bwana Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Isaiah 49:6yeye asema: 1 “Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu 2 ili kurejeza makabila ya Yakobo, 2 na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi? 1 Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa, 2 ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.” 1
Jeremiah 23:5Bwana asema, “Siku zinakuja, 2 nitakapomwinulia Daudi Tawi lenye haki, 1 Mfalme atakayetawala kwa hekima, 2 na kutenda lililo haki na sawa katika nchi. 1
Jeremiah 31:7Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mwimbieni Yakobo kwa furaha, 2 mpigieni kelele aliye mkuu wa mataifa. 1 Zifanyeni sifa zenu zisikike, nanyi mseme, 2 ‘Ee Bwana, okoa watu wako, 2 mabaki ya Israeli.’ 1
Hosea 2:9“Kwa hiyo nitachukua nafaka yangu wakati itakapokomaa 2 na divai yangu mpya wakati itakapokuwa tayari. 1 Nitamnyangʼanya sufu yangu na kitani yangu 2 iliyokusudiwa kufunika uchi wake. 1