Micah 5:7
Mabaki ya Yakobo yatakuwa 2 katikati ya mataifa mengi 1 kama umande kutoka kwa Bwana, 2 kama manyunyu juu ya majani, 1 ambayo hayamngoji mtu 2 wala kukawia kwa mwanadamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:2Mafundisho yangu na yanyeshe kama mvua, 2 na maneno yangu na yashuke kama umande, 1 kama manyunyu juu ya majani mabichi, 2 kama mvua tele juu ya mimea myororo. 1
Psalms 72:6Atakuwa kama mvua inyeshayo juu ya shamba lililofyekwa, 2 kama manyunyu yanyeshayo ardhi. 1
Isaiah 32:15mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, 2 nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu. 1
Isaiah 55:10Kama vile mvua na theluji 2 ishukavyo kutoka mbinguni, 1 nayo hairudi tena huko 2 bila kunywesha dunia 1 na kuichipusha na kuistawisha, 2 hivyo hutoa mbegu kwa mpanzi 2 na mkate kwa mlaji, 1
Jeremiah 14:22Je, kuna sanamu yoyote isiyofaa kitu ya mataifa 2 iwezayo kuleta mvua? 1 Je, anga peke yake zaweza kutoa mvua? 2 La hasha, ni wewe peke yako, 2 Ee Bwana, Mungu wetu. 1 Kwa hiyo tumaini letu liko kwako, 2 kwa kuwa wewe ndiwe ufanyaye haya yote.
Ezekiel 14:22Lakini watakuwepo wenye kuokoka, wana na binti wataletwa kutoka nje ya nchi hiyo. Watawajia ninyi, nanyi mtakapoona mwenendo wao na matendo yao, mtafarijika kuhusu maafa niliyoleta juu ya Yerusalemu, kwa ajili ya yale yote niliyoleta juu yake.