The Bible Software
bible.softwareMicahMicah 7 › Micah 7:17

Micah 7:17

Wataramba mavumbi kama nyoka, 2 kama viumbe vitambaavyo juu ya ardhi. 1 Watatoka nje ya mapango yao wakitetemeka; 2 watamgeukia Bwana Mungu wetu kwa hofu 2 nao watakuogopa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They shall lick the dust like a serpent, they shall move out of their holes like worms of the earth: they shall be afraid of the LORD our God, and shall fear because of thee.

In Context

16Mataifa yataona na kuaibika, 2 waliondolewa nguvu zao zote. 1 Wataweka mikono yao kwenye vinywa vyao 2 na masikio yao yatakuwa na uziwi. 1

18Ni nani Mungu kama wewe, 2 ambaye anaachilia dhambi 1 na kusamehe makosa 2 ya mabaki ya urithi wake? 1 Wewe huwi na hasira milele, 2 bali unafurahia kuonyesha rehema. 1

Read all of Micah 7

Cross References

Exodus 15:14Mataifa watasikia na kutetemeka, 2 uchungu utawakamata watu wa Ufilisti. 1

Joshua 9:24Wakamjibu Yoshua, “Watumwa wako waliambiwa waziwazi jinsi Bwana Mungu wenu alivyomwamuru mtumishi wake Mose kuwapa ninyi nchi hii yote na kuwaangamiza wakazi wake wote toka mbele zenu. Kwa hiyo tuliogopa mno kwa ajili ya uhai wetu kwa sababu yenu, ndiyo maana tukafanya neno hili.

2 Samuel 22:46Wote wanalegea, 2 wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. 1

Psalms 9:20Ee Bwana, wapige kwa hofu, 2 mataifa na yajue kuwa wao ni watu tu.

Psalms 72:9Makabila ya jangwani watamsujudia, 2 na adui zake wataramba mavumbi. 1

Isaiah 2:19Watu watakimbilia kwenye mapango ndani ya miamba, 2 na kwenye mahandaki ardhini 1 kutokana na utisho wa Bwana 2 na utukufu wa enzi yake, 2 ainukapo kuitikisa dunia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Micah 7:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Micah 7:16Micah 7Micah 7:18 →