Micah 5:8
Mabaki ya Yakobo yatakuwa miongoni mwa mataifa, 2 katikati ya mataifa mengi, 1 kama simba miongoni mwa wanyama wa msituni, 2 kama mwana simba miongoni 2 mwa makundi ya kondoo, 1 ambaye anaumiza vibaya na kuwararua 2 kila anapopita katikati yao, 2 wala hakuna awezaye kuokoa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Mkono wako utainuliwa juu kwa ushindi juu ya watesi wako, 2 nao adui zako wote wataangamizwa.
Cross References
Genesis 49:9Ee Yuda, wewe ni mwana simba; 2 unarudi toka mawindoni, mwanangu. 1 Kama simba hunyemelea na kulala chini, 2 kama simba jike: nani athubutuye kumwamsha? 1
Psalms 2:9Utawatawala kwa fimbo ya chuma 2 na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.” 1
Psalms 110:5Bwana yuko mkono wako wa kuume, 2 atawaponda wafalme siku ya ghadhabu yake. 1
Hosea 5:14Kwa maana nitakuwa kama simba kwa Efraimu, 2 kama simba mkubwa kwa Yuda. 1 Nitawararua vipande vipande na kuondoka; 2 nitawachukua mbali, 2 na hakuna wa kuwaokoa. 1
Micah 4:13“Inuka upure, ee Binti Sayuni, 2 kwa kuwa nitakupa pembe za chuma; 1 nitakupa kwato za shaba 2 na utavunja vipande vipande mataifa mengi.” 1 Utatoa mapato yao waliopata kwa udanganyifu kwa Bwana, 2 utajiri wao kwa Bwana wa dunia yote.
Zechariah 10:5Kwa pamoja watakuwa kama mashujaa 2 wanaokanyaga barabara za matope 2 wakati wa vita. 1 Kwa sababu Bwana yu pamoja nao, 2 watapigana na kuwashinda wapanda farasi. 1