Micah 7:20
Utakuwa wa kweli kwa Yakobo, 2 nawe utamwonyesha Abrahamu rehema, 1 kama ulivyowaahidi kwa kiapo baba zetu 2 siku za kale.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 12:2“Mimi nitakufanya taifa kubwa 2 na nitakubariki, 1 Nitalikuza jina lako, 2 nawe utakuwa baraka. 1
Genesis 22:16akasema, “Ninaapa kwa nafsi yangu, asema Bwana, kwamba kwa sababu umefanya jambo hili na hukunizuilia mwanao, mwana wako wa pekee,
Genesis 28:13Juu yake alisimama Bwana, akasema, “Mimi ni Bwana, Mungu wa baba yako Abrahamu na Mungu wa Isaki. Nchi ambayo umelala juu yake, nitakupa wewe na uzao wako.
Psalms 105:8Hulikumbuka agano lake milele, 2 neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu, 1
Jeremiah 33:25Hili ndilo asemalo Bwana: ‘Kama sijathibitisha agano langu na usiku na mchana, na kuziweka wakfu sheria za mbingu na nchi,
Luke 1:72ili kuonyesha rehema kwa baba zetu 2 na kukumbuka Agano lake takatifu, 1