The Bible Software
bible.softwareMicahMicah 7 › Micah 7:6

Micah 7:6

Kwa kuwa mwana humdharau baba yake, 2 naye binti huinuka dhidi ya mama yake, 1 mkwe kuwa kinyume na mama mkwe wake: 2 adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake hasa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the son dishonoureth the father, the daughter riseth up against her mother, the daughter in law against her mother in law; a man’s enemies are the men of his own house.

In Context

5Usimtumaini jirani; 2 usiweke matumaini kwa rafiki. 1 Hata kwa yule alalaye kifuani mwako 2 uwe mwangalifu kwa maneno yako. 1

7Lakini mimi, namtazama Bwana kwa matumaini, 2 namngoja Mungu Mwokozi wangu; 2 Mungu wangu atanisikia mimi. 1 Israeli Atainuka 1

Read all of Micah 7

Cross References

Genesis 9:22Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake na kuwaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.

2 Samuel 15:10Kisha Absalomu akatuma wajumbe kwa siri katika makabila yote ya Israeli, kusema, “Mara mtakaposikia sauti ya tarumbeta basi semeni, ‘Absalomu ni mfalme huko Hebroni.’ ”

2 Samuel 16:21Ahithofeli akamjibu, “Kutana kimwili na masuria wa baba yako aliowaacha kutunza jumba la kifalme. Ndipo Israeli yote itakaposikia kwamba umejifanya chukizo kwa baba yako, nayo mikono ya kila mmoja aliye pamoja nawe itatiwa nguvu.”

Psalms 55:12Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia, 2 kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, 2 ningejificha asinione. 1

Proverbs 30:17“Jicho lile limdhihakilo baba, 2 lile linalodharau kumtii mama, 1 litangʼolewa na kunguru wa bondeni, 2 litaliwa na tai. 1

Jeremiah 12:6Ndugu zako, watu wa jamaa yako mwenyewe: 2 hata wao wamekusaliti; 2 wameinua kilio kikubwa dhidi yako. 1 Usiwaamini, ingawa wanazungumza 2 mema juu yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Micah 7:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Micah 7:5Micah 7Micah 7:7 →