The Bible Software
bible.software › Nahumu › Nahumu 1 › Nahumu 1:11

Nahumu 1:11

Ee Ninawi, kutoka kwako amejitokeza mmoja, 2 ambaye anapanga shauri baya 1 dhidi ya Bwana 2 na kushauri uovu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There is one come out of thee, that imagineth evil against the LORD, a wicked counsellor.

In Context

10Watasongwa katikati ya miiba 2 na kulewa kwa mvinyo wao. 2 Watateketezwa kama mabua makavu. 1

12Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Ingawa wana muungano nao ni wengi sana, 2 watakatiliwa mbali na kuangamia. 1 Ingawa nimekutesa wewe, ee Yuda, 2 sitakutesa tena. 1

Read all of Nahumu 1

Cross References

1 Samuel 2:12Wana wa Eli walikuwa watu wabaya kabisa, hawakumheshimu Bwana.

2 Kings 18:13Katika mwaka wa kumi na nne wa utawala wa Mfalme Hezekia, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaishambulia miji yote ya Yuda yenye ngome na kuiteka.

2 Kings 19:22Ni nani uliyemtukana na kumkufuru? 2 Ni nani uliyeinua sauti yako dhidi yake, 1 na kumwinulia macho yako kwa kiburi? 2 Ni dhidi ya yule Aliye Mtakatifu wa Israeli! 1

2 Chronicles 32:15Sasa basi, msikubali Hezekia awadanganye na kuwapotosha namna hii. Msimwamini, kwa kuwa hakuna mungu wa taifa lolote wala wa ufalme wowote aliyeweza kuwaokoa watu wake kutoka mkononi mwangu au mkononi mwa baba zangu. Sembuse huyo mungu wenu atawaokoaje kutoka mkononi mwangu!”

Nahum 1:9Shauri baya lolote wapangalo dhidi ya Bwana 2 yeye atalikomesha; 2 taabu haitatokea mara ya pili. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nahumu 1:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nahumu 1:10Nahumu 1Nahumu 1:12 →