Nahumu 1:9
Shauri baya lolote wapangalo dhidi ya Bwana 2 yeye atalikomesha; 2 taabu haitatokea mara ya pili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8lakini kwa mafuriko makubwa, 1 ataangamiza Ninawi; 2 atafuatilia adui zake hadi gizani. 1
10Watasongwa katikati ya miiba 2 na kulewa kwa mvinyo wao. 2 Watateketezwa kama mabua makavu. 1
Cross References
1 Samuel 26:8Abishai akamwambia Daudi, “Leo Mungu amemtia adui yako mikononi mwako. Sasa niruhusu nimchome mpaka ardhini kwa pigo moja la mkuki wangu; sitamchoma mara mbili.”
Psalms 2:1Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, 2 na kabila za watu kula njama bure? 1
Psalms 33:10Bwana huzuia mipango ya mataifa, 2 hupinga makusudi ya mataifa. 1
Isaiah 8:9Inueni kilio cha vita, enyi mataifa, 2 na mkavunjwevunjwe! 2 Sikilizeni, enyi nyote nchi za mbali. 1 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 2 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 1
Nahum 1:11Ee Ninawi, kutoka kwako amejitokeza mmoja, 2 ambaye anapanga shauri baya 1 dhidi ya Bwana 2 na kushauri uovu.
2 Corinthians 10:5tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu, na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo,