The Bible Software
bible.softwareNahumuNahumu 2 › Nahumu 2:12

Nahumu 2:12

Simba aliua mawindo ya kutosha watoto wake, 2 alinyonga mawindo kwa ajili ya mwenzi wake, 1 akijaza makao yake kwa alivyoua 2 na mapango yake kwa mawindo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The lion did tear in pieces enough for his whelps, and strangled for his lionesses, and filled his holes with prey, and his dens with ravin.

In Context

11Liko wapi sasa pango la simba, 2 mahali ambapo waliwalisha watoto wao, 1 ambapo simba dume na simba jike walikwenda 2 na ambapo wana simba walikwenda 2 bila kuogopa chochote? 1

13Bwana Mwenye Nguvu Zote anatangaza, 2 “Mimi ni kinyume na ninyi. 1 Magari yenu ya vita nitayateketeza kwa moto, 2 na upanga utakula wana simba wako. 2 Sitawaachia mawindo juu ya nchi. 1 Sauti za wajumbe wako 2 hazitasikika tena.”

Read all of Nahumu 2

Cross References

Isaiah 10:6Ninamtuma dhidi ya taifa lisilomjua Mungu, 2 ninamtuma dhidi ya taifa linalonikasirisha, 1 kukamata mateka na kunyakua nyara, 2 pia kuwakanyaga chini kama matope ya barabarani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nahumu 2:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nahumu 2:11Nahumu 2Nahumu 2:13 →