Nahumu 2:11
Liko wapi sasa pango la simba, 2 mahali ambapo waliwalisha watoto wao, 1 ambapo simba dume na simba jike walikwenda 2 na ambapo wana simba walikwenda 2 bila kuogopa chochote? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 49:9Ee Yuda, wewe ni mwana simba; 2 unarudi toka mawindoni, mwanangu. 1 Kama simba hunyemelea na kulala chini, 2 kama simba jike: nani athubutuye kumwamsha? 1
Isaiah 5:29Ngurumo yao ni kama ile ya simba, 2 wananguruma kama wana simba, 1 wanakoroma wanapokamata mawindo yao, 2 na kuondoka nayo pasipo yeyote wa kuokoa. 1
Isaiah 31:4Hili ndilo Bwana analoniambia: 1 “Kama vile simba angurumavyo, 2 simba mkubwa juu ya mawindo yake: 1 hata ingawa kundi lote la wachunga mifugo 2 huitwa pamoja dhidi yake, 1 hatiwi hofu na kelele zao 2 wala kusumbuliwa na ghasia zao; 1 ndivyo Bwana Mwenye Nguvu Zote atakavyoshuka 2 kufanya vita juu ya Mlima Sayuni 2 na juu ya vilele vyake. 1
Jeremiah 4:7Simba ametoka nje ya pango lake, 2 mharabu wa mataifa amejipanga. 1 Ametoka mahali pake 2 ili aangamize nchi yenu. 1 Miji yenu itakuwa magofu 2 pasipo mtu wa kuishi humo. 1
Jeremiah 50:44Kama simba anayepanda kutoka vichaka vya Yordani 2 kuja kwenye nchi ya malisho mengi, 1 ndivyo nitamfukuza Babeli kutoka nchi yake ghafula. 2 Ni nani aliye mteule, 2 nitakayemweka kwa ajili ya jambo hili? 1 Ni nani aliye kama mimi, 2 na ni nani awezaye kunipinga? 1 Tena ni mchungaji yupi 2 awezaye kusimama kinyume nami?” 1
Joel 2:6Wanapoonekana, mataifa yanakuwa katika maumivu makuu; 2 kila uso unabadilika rangi. 1