The Bible Software
bible.softwareNahumNahum 2 › Nahum 2:8

Nahum 2:8

Ninawi ni kama dimbwi, 2 nayo maji yake yanakauka. 1 Wanalia, “Simama! Simama!” 2 Lakini hakuna anayegeuka nyuma. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But Nineveh is of old like a pool of water: yet they shall flee away. Stand, stand, shall they cry; but none shall look back.

In Context

7Imeagizwa kwamba mji uchukuliwe 2 na upelekwe uhamishoni. 1 Vijakazi wake wanaomboleza kama hua 2 na kupigapiga vifua vyao. 1

9Chukueni nyara za fedha! 2 Chukueni nyara za dhahabu! 1 Wingi wake hauna mwisho, 2 utajiri kutoka hazina zake zote! 1

Read all of Nahum 2

Cross References

Isaiah 13:14Kama swala awindwaye, 2 kama kondoo wasio na mchungaji, 1 kila mmoja atarudi kwa watu wake mwenyewe, 2 kila mmoja atakimbilia nchi yake ya kuzaliwa. 1

Isaiah 47:13Ushauri wote uliopokea umekuchosha bure! 2 Wanajimu wako na waje mbele, 1 wale watazama nyota watabiriao mwezi baada ya mwezi, 2 wao na wawaokoe na lile linalokuja juu yenu. 1

Isaiah 59:11Wote tunanguruma kama dubu; 2 tunalia kwa maombolezo kama hua. 1 Tunatafuta haki, kumbe hakuna kabisa; 2 tunatafuta wokovu, lakini uko mbali. 1

Jeremiah 50:16Katilieni mbali mpanzi kutoka Babeli, 2 pamoja na mvunaji na mundu wake akivuna. 1 Kwa sababu ya upanga wa mdhalimu 2 kila mmoja na arejee kwa watu wake mwenyewe, 1 kila mmoja na akimbilie 2 kwenye nchi yake mwenyewe. 1

Jeremiah 51:30Mashujaa wa Babeli wameacha kupigana, 2 wamebaki katika ngome zao. 1 Nguvu zao zimekwisha, 2 wamekuwa kama wanawake. 1 Makazi yake yameteketezwa kwa moto, 2 makomeo ya malango yake yamevunjika. 1

Revelation 17:1Mmoja wa wale malaika saba waliokuwa na yale mabakuli saba akaja akaniambia, “Njoo, nitakuonyesha adhabu ya yule kahaba mkuu, aketiye juu ya maji mengi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nahum 2:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nahum 2:7Nahum 2Nahum 2:9 →