Isaiah 47:13
Ushauri wote uliopokea umekuchosha bure! 2 Wanajimu wako na waje mbele, 1 wale watazama nyota watabiriao mwezi baada ya mwezi, 2 wao na wawaokoe na lile linalokuja juu yenu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 44:25“mimi huzipinga ishara za manabii wa uongo, 2 na kuwatia upumbavu waaguzi, 1 niyapinduaye maarifa ya wenye hekima, 2 na kuyafanya kuwa upuzi, 1
Isaiah 57:10Ulikuwa umechoshwa na njia zako zote, 2 lakini hukusema, ‘Hakuna tumaini.’ 1 Ulipata uhuisho wa nguvu zako, 2 kwa sababu hiyo hukuzimia. 1
Ezekiel 24:12Imezuia juhudi zote, 2 ukoko wake mwingi haujaondoka, 2 hata ikiwa ni kwa moto.
Daniel 5:7Mfalme akawaita wasihiri, wanajimu na waganga waletwe, naye akawaambia hawa wenye hekima wa Babeli, “Yeyote asomaye maandishi haya na kuniambia maana yake atavikwa nguo za zambarau, na kuvikwa mkufu wa dhahabu shingoni mwake, naye atafanywa mtawala wa cheo cha tatu katika ufalme.”
Daniel 5:30Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa,