Nahum 2:7
Imeagizwa kwamba mji uchukuliwe 2 na upelekwe uhamishoni. 1 Vijakazi wake wanaomboleza kama hua 2 na kupigapiga vifua vyao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Malango ya mto yamefunguliwa wazi, 2 na jumba la kifalme limeanguka. 1
Cross References
Isaiah 38:14Nililia kama mbayuwayu au korongo, 2 niliomboleza kama hua aombolezaye. 1 Macho yangu yalififia nilipotazama mbinguni. 2 Ee Bwana, ninataabika, njoo unisaidie!” 1
Nahum 3:13Tazama vikosi vyako: 2 wote ni wanawake! 1 Malango ya nchi yako 2 yamekuwa wazi kwa adui zako; 2 moto umeteketeza mapingo yake. 1
Luke 23:48Watu wote waliokuwa wamekusanyika hapo kushuhudia tukio hili walipoyaona hayo, wakapigapiga vifua vyao kwa huzuni na kwenda zao.