The Bible Software
bible.softwareNahumuNahumu 3 › Nahumu 3:12

Nahumu 3:12

Ngome zako zote ni kama mitini 2 yenye matunda yake ya kwanza yaliyoiva; 1 wakati inapotikiswa, 2 tini huanguka kwenye kinywa chake alaye. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

All thy strong holds shall be like fig trees with the firstripe figs: if they be shaken, they shall even fall into the mouth of the eater.

In Context

11Wewe pia utalewa; 2 utakwenda mafichoni 2 na kutafuta kimbilio kutoka kwa adui. 1

13Tazama vikosi vyako: 2 wote ni wanawake! 1 Malango ya nchi yako 2 yamekuwa wazi kwa adui zako; 2 moto umeteketeza mapingo yake. 1

Read all of Nahumu 3

Cross References

Habakkuk 1:10Wanawabeza wafalme, 2 na kuwadhihaki watawala. 1 Wanaicheka miji yote iliyozungushiwa maboma; 1 wanafanya malundo ya udongo na kuiteka hiyo miji. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nahumu 3:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nahumu 3:11Nahumu 3Nahumu 3:13 →