Nahum 3:13
Tazama vikosi vyako: 2 wote ni wanawake! 1 Malango ya nchi yako 2 yamekuwa wazi kwa adui zako; 2 moto umeteketeza mapingo yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 107:16kwa kuwa yeye huvunja malango ya shaba 2 na kukata mapingo ya chuma. 1
Isaiah 19:16Katika siku ile Wamisri watakuwa kama wanawake. Watatetemeka kwa hofu mbele ya mkono wa Bwana Mwenye Nguvu Zote anaoinua dhidi yao.
Isaiah 45:2Nitakwenda mbele yako 2 na kusawazisha milima; 1 nitavunjavunja malango ya shaba 2 na kukatakata mapingo ya chuma. 1
Jeremiah 51:30Mashujaa wa Babeli wameacha kupigana, 2 wamebaki katika ngome zao. 1 Nguvu zao zimekwisha, 2 wamekuwa kama wanawake. 1 Makazi yake yameteketezwa kwa moto, 2 makomeo ya malango yake yamevunjika. 1
Nahum 2:6Malango ya mto yamefunguliwa wazi, 2 na jumba la kifalme limeanguka. 1