Nahumu 3:11
Wewe pia utalewa; 2 utakwenda mafichoni 2 na kutafuta kimbilio kutoka kwa adui. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou also shalt be drunken: thou shalt be hid, thou also shalt seek strength because of the enemy.
In Context
Cross References
1 Samuel 14:11Basi wote wawili wakajionyesha kwa doria ya Wafilisti. Wafilisti wakasema, “Tazama! Waebrania wanatambaa toka mashimoni walimokuwa wamejificha.”
Isaiah 2:10Ingieni kwenye miamba, 2 jificheni ardhini 1 kutokana na utisho wa Bwana 2 na utukufu wa enzi yake! 1
Isaiah 29:9Duwaeni na kushangaa, 2 jifanyeni vipofu wenyewe na msione, 1 leweni, lakini si kwa mvinyo, 2 pepesukeni lakini si kwa kileo. 1
Isaiah 63:6Nilikanyaga mataifa kwa miguu katika hasira yangu, 2 katika ghadhabu yangu niliwalewesha, 2 na kumwaga damu yao juu ya ardhi.” 1 Kusifu Na Kuomba 1
Jeremiah 8:14“Kwa nini tunaketi hapa? 2 Kusanyikeni pamoja! 1 Tukimbilie kwenye miji yenye maboma, 2 tukaangamie huko! 1 Kwa kuwa Bwana, Mungu wetu 2 ametuhukumu kuangamia, 1 na kutupa maji yenye sumu tunywe, 2 kwa sababu tumemtenda dhambi. 1
Jeremiah 25:27“Kisha uwaambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Kunyweni, mlewe na mtapike; angukeni, wala msiinuke tena kwa sababu ya upanga nitakaotuma miongoni mwenu.’