Nahumu 3:15
Huko moto utakuteketeza, 2 huko upanga utakuangusha chini 2 na kama vile panzi, watakumaliza. 1 Ongezeka kama panzi, 2 ongezeka kama nzige! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 10:13Kwa hiyo Mose akanyoosha fimbo yake juu ya Misri, Bwana akauleta upepo wa mashariki ukavuma katika nchi yote mchana wote na usiku kucha, kufikia asubuhi upepo ukawa umeleta nzige.
Joel 2:25“Nitawalipa kwa ajili ya miaka ile iliyoliwa na nzige: 2 parare, madumadu na tunutu, 1 jeshi langu kubwa ambalo 2 nililituma katikati yenu. 1
Nahum 3:13Tazama vikosi vyako: 2 wote ni wanawake! 1 Malango ya nchi yako 2 yamekuwa wazi kwa adui zako; 2 moto umeteketeza mapingo yake. 1