Nahumu 3:17
Walinzi wako ni kama nzige, 2 maafisa wako ni kama makundi ya nzige 2 watuao kwenye kuta wakati wa siku ya baridi: 1 lakini wakati jua linapotokea wanaruka kwenda zao, 2 na hakuna ajuaye waendako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 51:27“Twekeni bendera katika nchi! 2 Pigeni tarumbeta katikati ya mataifa! 1 Andaeni mataifa kwa ajili ya vita dhidi yake, 2 iteni falme hizi dhidi yake: 2 Ararati, Mini na Ashkenazi. 1 Wekeni jemadari dhidi yake, 2 pelekeni farasi wengi kama kundi la nzige. 1
Revelation 9:7Wale nzige walikuwa na umbo kama la farasi waliotayarishwa kwa ajili ya vita. Kwenye vichwa vyao kulikuwa na kitu kama taji za dhahabu na nyuso zao zilikuwa kama za binadamu.