Nahumu 3:18
Ee mfalme wa Ashuru, wachungaji wako wanasinzia; 2 wakuu wako wanalala chini mavumbini kupumzika. 1 Watu wako wametawanyika juu ya milima 2 bila kuwa na mtu yeyote wa kuwakusanya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 22:17Ndipo Mikaya akajibu, “Niliona Israeli wote wametawanyika vilimani kama kondoo wasio na mchungaji, naye Bwana akasema, ‘Watu hawa hawana bwana. Mwache kila mmoja aende nyumbani kwa amani.’ ”
Isaiah 13:14Kama swala awindwaye, 2 kama kondoo wasio na mchungaji, 1 kila mmoja atarudi kwa watu wake mwenyewe, 2 kila mmoja atakimbilia nchi yake ya kuzaliwa. 1
Isaiah 56:9Njooni, enyi wanyama wote wa kondeni, 2 njooni mle, ninyi wanyama wote wa mwituni! 1
Jeremiah 51:39Lakini wakati wakiwa wameamshwa, 2 nitawaandalia karamu 2 na kuwafanya walewe, 1 ili wapige kelele kwa kicheko, 2 kisha walale milele na wasiamke,” 4 asema Bwana. 1
Ezekiel 31:3Angalia Ashuru, wakati fulani ilikuwa mwerezi huko Lebanoni, 2 ukiwa na matawi mazuri ukitia msitu kivuli; 1 ulikuwa mrefu sana, 2 kilele chake kilipita majani ya miti yote. 1
Ezekiel 32:22“Ashuru yuko huko pamoja na jeshi lake lote, amezungukwa na makaburi ya watu wake wote waliouawa, wale wote walioanguka kwa upanga.