Nahum 2:3
Ngao za askari wake ni nyekundu, 2 mashujaa wamevaa nguo nyekundu. 1 Chuma kwenye magari ya vita chametameta, 2 katika siku aliyoyaweka tayari, 2 mikuki ya mierezi inametameta. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 14:8Hata misunobari na mierezi ya Lebanoni 2 inashangilia mbele yako na kusema, 1 “Basi kwa sababu umeangushwa chini, 2 hakuna mkata miti atakayekuja kutukata.” 1
Ezekiel 23:14“Lakini yeye akazidisha ukahaba wake. Akaona wanaume waliochorwa ukutani, picha za Wakaldayo + 23:14 Wakaldayo yaani Wababeli . waliovalia nguo nyekundu,
Zechariah 6:2Gari la kwanza lilivutwa na farasi wekundu, la pili lilivutwa na farasi weusi,
Revelation 6:4Ndipo akatokea farasi mwingine mwekundu sana. Yeye aliyempanda akapewa uwezo wa kuondoa amani duniani na kuwafanya watu wauane. Yeye akapewa upanga mkubwa.