The Bible Software
bible.softwareNahumuNahumu 3 › Nahumu 3:1

Nahumu 3:1

Ole wa mji umwagao damu, 2 uliojaa uongo, 1 umejaa nyara, 2 usiokosa kuwa na vitu vya kuteka nyara. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Woe to the bloody city! it is all full of lies and robbery; the prey departeth not;

In Context

2Kelele za mijeledi, 2 vishindo vya magurudumu, 1 farasi waendao mbio 2 na mshtuo wa magari ya vita! 1

Read all of Nahumu 3

Cross References

Isaiah 24:9Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo, 2 kileo ni kichungu kwa wanywaji wake. 1

Ezekiel 22:2“Mwanadamu, je, wewe utauhukumu? Je, utauhukumu huu mji umwagao damu? Basi uujulishe juu ya matendo yake yote ya machukizo

Ezekiel 24:9“ ‘Kwa hiyo, hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Ole wa mji umwagao damu! 2 Mimi nami nitalundikia kuni nyingi. 1

Nahum 2:12Simba aliua mawindo ya kutosha watoto wake, 2 alinyonga mawindo kwa ajili ya mwenzi wake, 1 akijaza makao yake kwa alivyoua 2 na mapango yake kwa mawindo. 1

Habakkuk 2:12“Ole wake yeye ajengaye mji kwa kumwaga 2 damu na kuusimamisha mji kwa uhalifu! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nahumu 3:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Nahumu 3Nahumu 3:2 →