Nahum 3:7
Wote wanaokuona watakukimbia na kusema, 2 ‘Ninawi ipo katika kuangamia: 1 ni nani atakayeomboleza kwa ajili yake?’ 2 Nitampata wapi yeyote wa kukufariji?” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Nitakutupia uchafu, 2 nitakufanyia dharau 2 na kukufanya kioja. 1
Cross References
Numbers 16:34Kutoka kilio chao, Waisraeli wote waliowazunguka walikimbia, wakipaza sauti, “Nchi inatumeza na sisi pia!”
Jeremiah 15:5“Ni nani atakayekuhurumia, ee Yerusalemu? 2 Ni nani atakayeomboleza kwa ajili yako? 1 Ni nani atakayesimama ili kuuliza 2 kuhusu hali yako? 1
Jeremiah 51:41“Tazama jinsi Sheshaki + 51:41 Sheshaki ni Babeli kwa fumbo. atakamatwa, 2 majivuno ya dunia yote yatakavyonyakuliwa. 1 Babeli atakuwa mwenye hofu kiasi gani 2 kati ya mataifa! 1
Nahum 1:1Neno alilosema Mungu kuhusu Ninawi. Kitabu cha maono cha Nahumu, Mwelkoshi. 1 Hasira Ya Mungu Dhidi Ya Ninawi 1
Revelation 18:10Kwa hofu kubwa ya mateso yake, watasimama mbali na kulia na wakisema: 1 “ ‘Ole! Ole, ee mji mkubwa, 2 ee Babeli mji wenye nguvu! 1 Hukumu yako imekuja katika saa moja!’