Nahum 3:8
Je, wewe ni bora kuliko No-Amoni, 2 uliopo katika Mto Naili, 2 uliozungukwa na maji? 1 Mto ulikuwa kinga yake, 2 nayo maji yalikuwa ukuta wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 19:5Maji ya mito yatakauka, 2 chini ya mto kutakauka kwa jua. 1
Ezekiel 30:14Nitaifanya Pathrosi + 30:14 Pathrosi ni Misri ya Juu. kuwa ukiwa 2 na kuitia moto Soani, 2 nami nitaipiga kwa adhabu Thebesi + 30:14 Thebesi kwa Kiebrania ni No (au No-Amoni), mji katika Misri. 1
Amos 6:2Nendeni Kalne mkaone kutoka huko; 2 mwende hadi Hamathi iliyo kuu, 2 kisha mshuke hadi Gathi ya Wafilisti. 1 Je, wao ni bora kuliko falme zenu mbili? 2 Je, nchi yao ni kubwa kuliko yenu? 1