Nahumu 3:6
Nitakutupia uchafu, 2 nitakufanyia dharau 2 na kukufanya kioja. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I will cast abominable filth upon thee, and make thee vile, and will set thee as a gazingstock.
In Context
Cross References
Job 9:31wewe ungenitupa kwenye shimo la utelezi 2 kiasi kwamba hata nguo zangu zingenichukia sana. 1
Job 30:19Yeye amenitupa kwenye matope, 2 nami nimekuwa kama mavumbi na majivu. 1
Isaiah 14:16Wale wanaokuona wanakukazia macho, 2 wanatafakari hatima yako: 1 “Je, huyu ndiye yule aliyetikisa dunia 2 na kufanya falme zitetemeke, 1
Lamentations 3:16Amevunja meno yangu kwa changarawe, 2 amenikanyagia mavumbini. 1
Zephaniah 2:15Huu ndio mji uliotukuka na kuishi kwa furaha 2 wakijisikia salama. 1 Ulisema moyoni mwako, 2 “Mimi ndimi, na wala hapana mwingine ila mimi.” 1 Jinsi gani umekuwa gofu, 2 mahali pa kulala wanyama pori! 1 Wote wanaopita kando yake wanauzomea 2 na kutikisa mkono kwa dharau.
Malachi 2:3“Kwa sababu yenu nitawakatilia mbali wazao wenu. Nitazipaka nyuso zenu mavi, mavi ya dhabihu zenu. Nanyi mtafukuzwa pamoja nazo mtoke mbele zangu.